Ad banner
Ad banner

Agape Gospel Band – Niseme Nini Baba (Official Music Video)

Hallelujah !!
Wimbo huu ni Wimbo wa Shukurani kwa Mungu wetu , wakati mwingine tunakosa maneno yakusema tunajiuliza ” Tuseme Nini kwa wema wa MUNGU katika maisha yetu “??
Tunapofikiria habari ya wale wakoma kumi katika kitabu Cha Luka 17:11-19 neno la Mungu linasema ,

[11]Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
[12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,
[13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu!
[14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
[15]Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu;
[16]akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria.

Barikiwa sana 🙏🏾
Musicians
Main keys : Innocent Nelson
Aux keys : Michael Lowkeys
Guitarist : Kaz Benjamin
Bassist : JP kazire
Drummer : Hans Lugwisha

Back Ground Vocals

SOPRANO :
Jocelyn Bryson
Neema Mlay

ALTO :
Jonas Moshi
Hannah Joseph

TENOR :
Justin
Pascal Guveti

Lead Singer: Victor Maestro

Mixing and Mastering by Baraka Ngowi

Sound Engineer: MUJWAHUKI

Venue: The Reality of Christ Church

Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili

#AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo

source

(Visited 1 times, 1 visits today)

You Might Be Interested In

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *